Tobiti 1:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Zamani za Shalmanesa, mfalme wa Waashuri, huyu alichukuliwa mateka kutoka Tisbe, ulioko upande wa kulia wa Kedesh-Naftali katika Galilaya, upande wa juu wa Asheri. Biblia Habari Njema - BHND Wakati Shalmanesa alipokuwa mfalme wa Ashuru, Tobiti alichukuliwa uhamishoni kutoka mji wa Thisbe ulioko kusini mwa Kadeshi huko Naftali kaskazini mwa Galilaya, magharibi-kaskazini mwa mji wa Hazori na kaskazini mwa Shefati. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati Shalmanesa alipokuwa mfalme wa Ashuru, Tobiti alichukuliwa uhamishoni kutoka mji wa Thisbe ulioko kusini mwa Kadeshi huko Naftali kaskazini mwa Galilaya, magharibi-kaskazini mwa mji wa Hazori na kaskazini mwa Shefati. BIBLIA KISWAHILI Zamani za Shalmanesa, mfalme wa Waashuri, huyu alichukuliwa mateka kutoka Tisbe, ulioko upande wa kulia wa Kedesh-Naftali katika Galilaya, upande wa juu wa Asheri. BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA Wakati Shalmanesa alipokuwa mfalme wa Ashuru, Tobiti alichukuliwa uhamishoni kutoka mji wa Thisbe ulioko kusini mwa Kadeshi huko Naftali kaskazini mwa Galilaya, magharibi-kaskazini mwa mji wa Hazori na kaskazini mwa Shefati. |