Tobiti 1:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC nikawapa wenye njaa chakula; nikawapa walio uchi nguo zangu; hata nikimwona mtu yeyote wa taifa letu amekufa na kutupwa kwenye kuta za Ninawi, nikamzika. Biblia Habari Njema - BHND Wenye njaa, niliwapatia chakula changu na kuwapa nguo wale waliotindikiwa nazo. Kila nilipokuta maiti ya mmoja wa watu wangu ametupwa nje ya ukuta wa mji, nilimwokota na kumzika kwa heshima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wenye njaa, niliwapatia chakula changu na kuwapa nguo wale waliotindikiwa nazo. Kila nilipokuta maiti ya mmoja wa watu wangu ametupwa nje ya ukuta wa mji, nilimwokota na kumzika kwa heshima. BIBLIA KISWAHILI nikawapa wenye njaa chakula; nikawapa walio uchi nguo zangu; hata nikimwona mtu yeyote wa taifa letu amekufa na kutupwa kwenye kuta za Ninawi, nikamzika. BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA Wenye njaa, niliwapatia chakula changu na kuwapa nguo wale waliotindikiwa nazo. Kila nilipokuta maiti ya mmoja wa watu wangu ametupwa nje ya ukuta wa mji, nilimwokota na kumzika kwa heshima. |