Tobiti 1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hivyo nikaenda mpaka Umedi, nikaweka amana kwake Gabaeli mwana wa Gabria talanta kumi za fedha, huko Rage, mji wa Umedi. Biblia Habari Njema - BHND Kabla mfalme huyo hajafariki, nilikwenda mara nyingi nchini Media kumnunulia vitu. Siku moja, nilipokuwa mjini Rage huko Media, nilimwachia Gabaeli, nduguye Gabria, fedha mifuko kadhaa, nikamwomba anitunzie. Ndani ya mifuko hiyo mlikuwa na sarafu za shaba zaidi ya kilo 300. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabla mfalme huyo hajafariki, nilikwenda mara nyingi nchini Media kumnunulia vitu. Siku moja, nilipokuwa mjini Rage huko Media, nilimwachia Gabaeli, nduguye Gabria, fedha mifuko kadhaa, nikamwomba anitunzie. Ndani ya mifuko hiyo mlikuwa na sarafu za shaba zaidi ya kilo 300. BIBLIA KISWAHILI Hivyo nikaenda mpaka Umedi, nikaweka amana kwake Gabaeli mwana wa Gabria talanta kumi za fedha, huko Rage, mji wa Umedi. BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA Kabla mfalme huyo hajafariki, nilikwenda mara nyingi nchini Media kumnunulia vitu. Siku moja, nilipokuwa mjini Rage huko Media, nilimwachia Gabaeli, nduguye Gabria, fedha mifuko kadhaa, nikamwomba anitunzie. Ndani ya mifuko hiyo mlikuwa na sarafu za shaba zaidi ya kilo 300. |