Tobiti 1:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kitabu cha habari za Tobiti, mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa uzao wa Asieli, wa kabila ya Naftali. Biblia Habari Njema - BHND Hizi ni habari za maisha ya Tobiti mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa ukoo wa Asieli, wa kabila la Naftali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hizi ni habari za maisha ya Tobiti mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa ukoo wa Asieli, wa kabila la Naftali. BIBLIA KISWAHILI Kitabu cha habari za Tobiti, mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa uzao wa Asieli, wa kabila la Naftali. BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA Hizi ni habari za maisha ya Tobiti mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa ukoo wa Asieli, wa kabila la Naftali. |