Ruthu 3:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akamwambia, Hayo yote unenayo mimi nitayafanya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ruthu akajibu, “Nitafanya yote uliyoniambia.” Biblia Habari Njema - BHND Ruthu akajibu, “Nitafanya yote uliyoniambia.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ruthu akajibu, “Nitafanya yote uliyoniambia.” Neno: Bibilia Takatifu Ruthu akajibu, “Lolote usemalo nitatenda.” Neno: Maandiko Matakatifu Ruthu akajibu, “Lolote usemalo nitatenda.” BIBLIA KISWAHILI Akamwambia, Hayo yote unenayo mimi nitayafanya. |
Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana.
Nayo itakuwa wakati atakapolala, utapaangalia mahali alalapo, nawe uingie, uifunue miguu yake ujilaze hapo; na yeye atakuambia utakalofanya.