Nahumu 3:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Wewe u mwema kuliko No-amoni, uliowekwa kati ya mito, uliozungukwa na maji; ambao boma lake lilikuwa bahari, na bahari ilikuwa ukuta wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, wewe Ninewi, ni bora kuliko Thebesi, mji uliojengwa kando ya mto Nili? Thebesi ulizungukwa na maji, bahari ilikuwa boma lake, maji yalikuwa ukuta wake! Biblia Habari Njema - BHND Je, wewe Ninewi, ni bora kuliko Thebesi, mji uliojengwa kando ya mto Nili? Thebesi ulizungukwa na maji, bahari ilikuwa boma lake, maji yalikuwa ukuta wake! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, wewe Ninewi, ni bora kuliko Thebesi, mji uliojengwa kando ya mto Nili? Thebesi ulizungukwa na maji, bahari ilikuwa boma lake, maji yalikuwa ukuta wake! Neno: Bibilia Takatifu Je, wewe ni bora kuliko No-Amoni, uliopo katika Mto Naili, uliozungukwa na maji? Mto ulikuwa kinga yake, nayo maji yalikuwa ukuta wake. Neno: Maandiko Matakatifu Je, wewe ni bora kuliko No-Amoni, uliopo katika Mto Naili, uliozungukwa na maji? Mto ulikuwa kinga yake, nayo maji yalikuwa ukuta wake. BIBLIA KISWAHILI Je! Wewe u mwema kuliko No-amoni, uliowekwa kati ya mito, uliozungukwa na maji; ambao boma lake lilikuwa bahari, na bahari ilikuwa ukuta wake. |
Mataifa wamesikia habari za aibu yako, nayo dunia imejaa kilio chako; maana shujaa amejikwaa juu ya shujaa mwenzake, wameanguka wote wawili pamoja.
Utakuwa duni kuliko falme zote; wala hautajiinua tena juu ya mataifa; nami nitawapunguza, ili wasitawale tena juu ya mataifa.
Piteni hadi Kalne, mkaone; tena tokea huko nendeni hadi Hamathi iliyo kuu; kisha shukeni hadi Gathi ya Wafilisti; je! Ninyi ni bora kuliko falme hizi? Au eneo lao ni kubwa kuliko eneo lenu?