Na Nuhu akaishi baada ya ile gharika miaka mia tatu na hamsini.
Baada ya gharika, Noa aliishi miaka 350,
Baada ya gharika, Nuhu aliishi miaka mia tatu na hamsini.
Baada ya gharika Nuhu aliishi miaka 350.
Mungu amwongezee Yafethi. Na akae katika hema za Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake.
Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia tisa na hamsini, akafa.