Akamwita jina lake Nuhu, akinena, Huyu ndiye atakayetufariji kwa kazi yetu na kwa taabu ya mikono yetu katika nchi aliyoilaani BWANA.
Mwanzo 9:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo, Biblia Habari Njema - BHND Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo, Neno: Bibilia Takatifu Nuhu alipolevuka na kujua lile mwanawe mdogo alilomtendea, Neno: Maandiko Matakatifu Nuhu alipolevuka kutoka kwenye mvinyo wake na kujua lile ambalo mwanawe mdogo kuliko wote alilokuwa amemtendea, BIBLIA KISWAHILI Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea. |
Akamwita jina lake Nuhu, akinena, Huyu ndiye atakayetufariji kwa kazi yetu na kwa taabu ya mikono yetu katika nchi aliyoilaani BWANA.
Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.