Mwanzo 8:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC akatoa kunguru, naye akatoka akaenda huku na huko, hata maji yakakauka juu ya nchi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema akamtoa kunguru nje, naye hakurudi bali aliruka huko na huko mpaka maji yalipokauka nchini. Biblia Habari Njema - BHND akamtoa kunguru nje, naye hakurudi bali aliruka huko na huko mpaka maji yalipokauka nchini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza akamtoa kunguru nje, naye hakurudi bali aliruka huko na huko mpaka maji yalipokauka nchini. Neno: Bibilia Takatifu akamtoa kunguru, naye akawa akiruka kwenda na kurudi hadi maji yalipokwisha kukauka juu ya dunia. Neno: Maandiko Matakatifu na akamtoa kunguru, akawa akiruka kwenda na kurudi mpaka maji yalipokwisha kukauka juu ya nchi. BIBLIA KISWAHILI akatoa kunguru, naye akatoka akaenda huku na huko, hata maji yakakauka juu ya nchi. |
Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi, na mkate na nyama jioni, akanywa maji ya kile kijito.
Ni nani anayempatia kunguru chakula, Makinda yake wanapomlilia Mungu, Na kutangatanga kwa kutindikiwa na chakula?