Ile gharika ilikuwako juu ya nchi siku arubaini; nayo maji yakazidi, yakaifanya safina ielee, ikaelea juu ya nchi.
Mwanzo 7:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maji yakaongezeka zaidi juu ya nchi; na safina ikaelea juu ya uso wa maji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maji yakaendelea kuongezeka zaidi nchini na safina ikaelea juu yake. Biblia Habari Njema - BHND Maji yakaendelea kuongezeka zaidi nchini na safina ikaelea juu yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maji yakaendelea kuongezeka zaidi nchini na safina ikaelea juu yake. Neno: Bibilia Takatifu Maji yakajaa na kuongezeka sana juu ya dunia, na safina ikaelea juu ya maji. Neno: Maandiko Matakatifu Maji yakajaa na kuongezeka sana juu ya nchi, na safina ikaelea juu ya uso wa maji. BIBLIA KISWAHILI Maji yakaongezeka zaidi juu ya nchi; na safina ikaelea juu ya uso wa maji. |
Ile gharika ilikuwako juu ya nchi siku arubaini; nayo maji yakazidi, yakaifanya safina ielee, ikaelea juu ya nchi.
Maji yakazidi kuongezeka sana sana juu ya nchi; hata milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu ikafunikwa.
Mkondo usinigharikishe, wala vilindi visinimeze, Wala Shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu.
Yale maji yakarudi yakafunikiza magari na wapanda farasi, hata jeshi lote la Farao lililoingia katika bahari nyuma yao; hakusalia hata mtu mmoja.