Israeli akamwambia Yusufu, Angalia, mimi ninakufa, lakini Mungu atakuwa pamoja nanyi, naye atawarudisha mpaka nchi ya baba zenu.
Mwanzo 50:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Farao akasema, Nenda, ukamzike baba yako, kama alivyokuapisha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Farao akajibu, “Nenda ukamzike baba yako kama alivyokuapisha.” Biblia Habari Njema - BHND Farao akajibu, “Nenda ukamzike baba yako kama alivyokuapisha.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Farao akajibu, “Nenda ukamzike baba yako kama alivyokuapisha.” Neno: Bibilia Takatifu Farao akasema, “Panda, uende kumzika baba yako, kama alivyokuapiza kufanya.” Neno: Maandiko Matakatifu Farao akasema, “Panda, uende kumzika baba yako, kama alivyokuapiza kufanya.” BIBLIA KISWAHILI Farao akasema, Nenda, ukamzike baba yako, kama alivyokuapisha. |
Israeli akamwambia Yusufu, Angalia, mimi ninakufa, lakini Mungu atakuwa pamoja nanyi, naye atawarudisha mpaka nchi ya baba zenu.
Mimi ni katika kufa, unizike katika kaburi langu nililojichimbia katika nchi ya Kanaani. Basi tafadhali uniruhusu niende sasa nikamzike babangu, nami nitarudi.
Basi Yusufu akaenda kumzika baba yake, na watumishi wote wa Farao wakaenda pamoja naye, wazee wa nyumbani mwake, na wazee wote wa nchi ya Misri.