Enoshi akaishi baada ya kumzaa Kenani miaka mia nane na kumi na mitano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Mwanzo 5:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Enoshi akaishi miaka tisini, akamzaa Kenani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Enoshi alipokuwa na umri wa miaka 90, alimzaa Kenani. Biblia Habari Njema - BHND Enoshi alipokuwa na umri wa miaka 90, alimzaa Kenani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Enoshi alipokuwa na umri wa miaka 90, alimzaa Kenani. Neno: Bibilia Takatifu Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani. Neno: Maandiko Matakatifu Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani. BIBLIA KISWAHILI Enoshi akaishi miaka tisini, akamzaa Kenani. |
Enoshi akaishi baada ya kumzaa Kenani miaka mia nane na kumi na mitano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.