Siku zote za Sethi ni miaka mia tisa na kumi na miwili, akafa.
Sethi alifariki akiwa na umri wa miaka 912.
Sethi aliishi jumla ya miaka mia tisa na kumi na mbili (912), ndipo akafa.
Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa.
Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia tisa na thelathini, naye akafa.
Sethi akaishi baada ya kumzaa Enoshi miaka mia nane na saba, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Enoshi akaishi miaka tisini, akamzaa Kenani.