Yakobo akamjibu Farao, Siku za kuishi kwangu ni miaka mia moja na thelathini; siku za maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikia siku za maisha ya baba zangu katika siku za kuishi kwao.
Mwanzo 5:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Siku zote za Methusela ni miaka mia tisa na sitini na tisa, akafa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Methusela alifariki akiwa na umri wa miaka 969. Biblia Habari Njema - BHND Methusela alifariki akiwa na umri wa miaka 969. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Methusela alifariki akiwa na umri wa miaka 969. Neno: Bibilia Takatifu Methusela aliishi jumla ya miaka mia tisa sitini na tisa (969), ndipo akafa. Neno: Maandiko Matakatifu Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa. BIBLIA KISWAHILI Siku zote za Methusela ni miaka mia tisa na sitini na tisa, akafa. |
Yakobo akamjibu Farao, Siku za kuishi kwangu ni miaka mia moja na thelathini; siku za maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikia siku za maisha ya baba zangu katika siku za kuishi kwao.
Methusela akaishi baada ya kumzaa Lameki miaka mia saba na themanini na miwili, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Naye huyo Barzilai alikuwa mzee sana, alikuwa na umri wa miaka themanini; naye amemlisha mfalme hapo alipokuwapo Mahanaimu; kwa kuwa alikuwa mtu mwenye cheo kikubwa.
Hawatajenga, kisha akakaa mtu mwingine ndani yake; hawatapanda, kisha akala mtu mwingine; maana kama siku za mti ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, na wateule wangu wataifurahia kazi ya mikono yao muda wa siku nyingi.