Henoko akaenda pamoja na Mungu. Baada ya kumzaa Methusela aliishi miaka mia tatu, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Mwanzo 5:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Siku zote za Henoko ni miaka mia tatu na sitini na mitano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Henoki aliishi miaka 365. Biblia Habari Njema - BHND Henoki aliishi miaka 365. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Henoki aliishi miaka 365. Neno: Bibilia Takatifu Idrisi aliishi jumla ya miaka mia tatu sitini na tano (365). Neno: Maandiko Matakatifu Idrisi aliishi jumla ya miaka 365. BIBLIA KISWAHILI Siku zote za Henoko ni miaka mia tatu na sitini na mitano. |
Henoko akaenda pamoja na Mungu. Baada ya kumzaa Methusela aliishi miaka mia tatu, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
naam, ajapoishi miaka elfu mara mbili, asijiburudishe kwa mema; je! Wote hawaendi mahali pamoja?