Siku zote za Yaredi ni miaka mia tisa na sitini na miwili, akafa.
Yaredi alifariki akiwa na umri wa miaka 962.
Yaredi aliishi jumla ya miaka mia tisa na sitini na mbili (962), ndipo akafa.
Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa.
Yaredi akaishi baada ya kumzaa Henoko miaka mia nane, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Henoko akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.
Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia tisa na hamsini, akafa.