Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe.
Mwanzo 5:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yaredi akaishi miaka mia moja na sitini na miwili, akamzaa Henoko. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki. Biblia Habari Njema - BHND Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki. Neno: Bibilia Takatifu Yaredi alipokuwa ameishi miaka mia moja na sitini na mbili (162), akamzaa Idrisi. Neno: Maandiko Matakatifu Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Idrisi. BIBLIA KISWAHILI Yaredi akaishi miaka mia moja na sitini na miwili, akamzaa Henoko. |
Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe.
Basi alipokwisha kuyaona yale maono, mara tukataka kutoka kwenda Makedonia, kwa kuwa tuliona hakika ya kwamba Mungu ametuita tuwahubirie Habari Njema.