Mahalaleli akaishi baada ya kumzaa Yaredi miaka mia nane na thelathini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Mwanzo 5:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895. Biblia Habari Njema - BHND Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895. Neno: Bibilia Takatifu Mahalaleli aliishi jumla ya miaka mia nane tisini na tano (895), ndipo akafa. Neno: Maandiko Matakatifu Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa. BIBLIA KISWAHILI Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa. |
Mahalaleli akaishi baada ya kumzaa Yaredi miaka mia nane na thelathini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.