Mwanzo 49:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC shamba na pango lililomo lililonunuliwa kwa wazawa wa Hethi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shamba hilo na pango lake lilinunuliwa kwa Wahiti.” Biblia Habari Njema - BHND Shamba hilo na pango lake lilinunuliwa kwa Wahiti.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shamba hilo na pango lake lilinunuliwa kwa Wahiti.” Neno: Bibilia Takatifu Shamba hilo na pango lililo ndani yake lilinunuliwa kutoka kwa Wahiti.” Neno: Maandiko Matakatifu Shamba hilo na pango lililoko ndani yake lilinunuliwa kutoka kwa Wahiti.” BIBLIA KISWAHILI shamba na pango lililomo lililonunuliwa kwa wazawa wa Hethi. |
Humo walimzika Abrahamu, na Sara mkewe; humo wakamzika Isaka, na Rebeka mkewe; nami humo nikamzika Lea;
Basi Yakobo alipokwisha kuwaagiza wanawe, akakunja miguu yake kitandani, akafa, akakusanywa pamoja na watu wake.