Reubeni, u mzaliwa wangu wa kwanza, Nguvu zangu, na malimbuko ya uwezo wangu. Umewapita wengine kwa ukuu na kwa nguvu.
Mwanzo 49:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kusanyikeni, msikie, enyi wana wa Yakobo, Msikilizeni Israeli, baba yenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Kusanyikeni msikie, enyi wana wa Yakobo, nisikilizeni mimi Israeli, baba yenu. Biblia Habari Njema - BHND “Kusanyikeni msikie, enyi wana wa Yakobo, nisikilizeni mimi Israeli, baba yenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Kusanyikeni msikie, enyi wana wa Yakobo, nisikilizeni mimi Israeli, baba yenu. Neno: Bibilia Takatifu “Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo; msikilizeni baba yenu Israeli. Neno: Maandiko Matakatifu “Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo, msikilizeni baba yenu Israeli. BIBLIA KISWAHILI Kusanyikeni, msikie, enyi wana wa Yakobo, Msikilizeni Israeli, baba yenu. |
Reubeni, u mzaliwa wangu wa kwanza, Nguvu zangu, na malimbuko ya uwezo wangu. Umewapita wengine kwa ukuu na kwa nguvu.
Kusanyikeni, ninyi nyote, mkasikie; ni nani miongoni mwao aliyehubiri haya? BWANA amempenda; atatimiza mapenzi yake juu ya Babeli, na mkono wake utakuwa juu ya Wakaldayo.