Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Mwanzo 49:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

Dani atakuwa nyoka barabarani, Bafe katika njia, Aumaye visigino vya farasi, Na apandaye akaanguka chali.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

“Atakuwa kama nyoka njiani, nyoka mwenye sumu kando ya njia, aumaye visigino vya farasi, naye mpandafarasi huanguka chali.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

“Atakuwa kama nyoka njiani, nyoka mwenye sumu kando ya njia, aumaye visigino vya farasi, naye mpandafarasi huanguka chali.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Atakuwa kama nyoka njiani, nyoka mwenye sumu kando ya njia, aumaye visigino vya farasi, naye mpandafarasi huanguka chali.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Dani atakuwa nyoka kando ya barabara, nyoka mwenye sumu kando ya njia, yule aumaye visigino vya farasi ili yule ampandaye aanguke chali.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Dani atakuwa nyoka kando ya barabara, nyoka mwenye sumu kando ya njia, yule aumaye visigino vya farasi ili yule ampandaye aanguke chali.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Dani atakuwa nyoka barabarani, Bafe katika njia, Aumaye visigino vya farasi, Hata apandaye akaanguka chali.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Mwanzo 49:17
8 Marejeleo ya Msalaba  

Dani atahukumu watu wake, Kama moja ya makabila ya Israeli;

Wokovu wako nimeungoja, Ee BWANA.

Na wa Wadani, watu hodari wa kupanga vita, elfu ishirini na nane na mia sita.

Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira.

Nyoka akiuma kabla hajachezeshwa, Basi hakuna faida ya mchezeshaji.