Na macho ya Israeli yalikuwa mazito kwa uzee, wala hakuweza kuona vizuri. Akawaleta kwake, naye akawabusu, na kuwakumbatia.
Mwanzo 48:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Israeli akawaona wana wa Yusufu, akasema, Ni nani hawa? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza, “Ni akina nani hawa?” Biblia Habari Njema - BHND Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza, “Ni akina nani hawa?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza, “Ni akina nani hawa?” Neno: Bibilia Takatifu Israeli alipowaona wana wa Yusufu, akauliza, “Hawa ni nani?” Neno: Maandiko Matakatifu Wakati Israeli alipowaona wana wa Yusufu, akauliza, “Hawa ni nani?” BIBLIA KISWAHILI Israeli akawaona wana wa Yusufu, akasema, Ni nani hawa? |
Na macho ya Israeli yalikuwa mazito kwa uzee, wala hakuweza kuona vizuri. Akawaleta kwake, naye akawabusu, na kuwakumbatia.
Yusufu akamwambia babaye, Hawa ni wanangu, Mungu alionipa nikiwa hapa. Akasema, Tafadhali uwalete kwangu nami nitawabariki.
Mtafuteni BWANA, nanyi mtaishi; asije akawaka kama moto katika nyumba ya Yusufu, nao ukateketeza, asiwepo mtu awezaye kuuzima katika Betheli.