Reubeni akamwambia baba yake, akasema, Uwaue wanangu wawili nisipomrudisha kwako; mtie katika mikono yangu, nami nitamrudisha kwako.
Mwanzo 46:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Reubeni; Hanoki, na Palu, na Hesroni, na Karmi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema pamoja na wana wa Reubeni: Henoki, Palu, Hesroni na Karmi. Biblia Habari Njema - BHND pamoja na wana wa Reubeni: Henoki, Palu, Hesroni na Karmi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza pamoja na wana wa Reubeni: Henoki, Palu, Hesroni na Karmi. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Reubeni ni: Hanoki, Palu, Hesroni, na Karmi. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Reubeni ni: Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Reubeni; Hanoki, na Palu, na Hesroni, na Karmi. |
Reubeni akamwambia baba yake, akasema, Uwaue wanangu wawili nisipomrudisha kwako; mtie katika mikono yangu, nami nitamrudisha kwako.
Na wana wa Simeoni; Yemueli na Yamini, na Ohadi, na Yakini, na Sohari, na Shauli, mwana wa mwanamke Mkanaani.
Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli walioingia Misri, Yakobo na wanawe: Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo.
Hawa ndio vichwa vya nyumba za baba zao: wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli; ni Hanoki, na Palu, na Hesroni, na Karmi; hao ni jamaa za Reubeni.
Na haya ndiyo majina ya wana wa Lawi, kulingana na vizazi vyao; Gershoni, na Kohathi, na Merari; na miaka ya maisha yake Lawi ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na saba.
Na wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kichwa kwa kichwa, kila mwanamume kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi wote walioweza kwenda vitani;
Hizi ndizo jamaa za Wareubeni; na hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tatu, mia saba na thelathini.