Na watu hao ni wachungaji, maana wamekuwa watu wa kuchunga wanyama, nao wameleta kondoo zao, na ng'ombe zao, na yote waliyo nayo.
Mwanzo 46:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Itakuwa Farao atakapowaita, na kuwauliza, Kazi yenu ni nini? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Farao akiwaita na kuwaulizeni, ‘Kazi yenu ni nini?’ Biblia Habari Njema - BHND Basi, Farao akiwaita na kuwaulizeni, ‘Kazi yenu ni nini?’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Farao akiwaita na kuwaulizeni, ‘Kazi yenu ni nini?’ Neno: Bibilia Takatifu Farao atakapowaita na kuwauliza, ‘Kazi yenu ni nini?’ Neno: Maandiko Matakatifu Farao atakapowaita na kuwaulizeni, ‘Kazi yenu ni nini?’ BIBLIA KISWAHILI Itakuwa Farao atakapowaita, na kuwauliza, Kazi yenu ni nini? |
Na watu hao ni wachungaji, maana wamekuwa watu wa kuchunga wanyama, nao wameleta kondoo zao, na ng'ombe zao, na yote waliyo nayo.
Ndipo wakamwambia, Tafadhali utuambie, wewe ambaye mabaya haya yametupata kwa sababu yako; kazi yako ni kazi gani? Nawe umetoka wapi? Nchi yako ni nchi ipi? Nawe u mtu wa kabila gani?