Mwanzo 46:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hao ndio wana wa Raheli, aliomzalia Yakobo, wote walikuwa watu kumi na wanne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu hao kumi na wanne ni watoto na wajukuu wa Yakobo na Raheli, mkewe. Biblia Habari Njema - BHND Watu hao kumi na wanne ni watoto na wajukuu wa Yakobo na Raheli, mkewe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu hao kumi na wanne ni watoto na wajukuu wa Yakobo na Raheli, mkewe. Neno: Bibilia Takatifu Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. Neno: Maandiko Matakatifu Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. BIBLIA KISWAHILI Hao ndio wana wa Raheli, aliomzalia Yakobo, wote walikuwa watu kumi na wanne. |
Na wana wa Benyamini; Bela, na Bekeri, na Ashbeli, na Gera, na Naamani, na Ehi, na Roshi, na Mupimu, na Hupimu, na Ardi.