Yakobo akampenda Raheli akasema, Nitakutumikia miaka saba kwa kumpata Raheli, binti yako mdogo.
Mwanzo 46:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wana wa Raheli, mkewe Yakobo, Yusufu na Benyamini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Raheli alimzalia Yakobo wana wawili: Yosefu na Benyamini. Biblia Habari Njema - BHND Raheli alimzalia Yakobo wana wawili: Yosefu na Benyamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Raheli alimzalia Yakobo wana wawili: Yosefu na Benyamini. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni: Yusufu na Benyamini. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni: Yusufu na Benyamini. BIBLIA KISWAHILI Wana wa Raheli, mkewe Yakobo, Yusufu na Benyamini. |
Yakobo akampenda Raheli akasema, Nitakutumikia miaka saba kwa kumpata Raheli, binti yako mdogo.
Basi Yusufu akaletwa mpaka Misri, naye Potifa, ofisa wa Farao, mkuu wa askari walinzi, mtu wa Misri, akamnunua mkononi mwa hao Waishmaeli waliomleta huko.
Hao ndio wana wa Zilpa, ambaye Labani alimpa Lea, binti yake, naye akamzalia Yakobo hao, watu kumi na sita.
Walizaliwa kwake Yusufu katika nchi ya Misri, Manase na Efraimu, aliomzalia Asenathi binti Potifera, kuhani wa Oni.
Na wale watu wote waliotokana na uzao wa Yakobo walikuwa watu sabini; na huyo Yusufu alikuwa huko ndani ya Misri tangu hapo.