Mwanzo 46:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Gadi; Sefoni, na Hagi, na Shuni, na Esboni, na Eri, na Arodi, na Areli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Gadi na wanawe: Sifioni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. Biblia Habari Njema - BHND Gadi na wanawe: Sifioni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Gadi na wanawe: Sifioni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Gadi ni: Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi, na Areli. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Gadi ni: Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Gadi; Sefoni, na Hagi, na Shuni, na Esboni, na Eri, na Arodi, na Areli. |
Wana wa Zilpa, kijakazi wa Lea, ni Gadi na Asheri. Hawa ndio wana wa Yakobo aliozaliwa katika Padan-aramu.
Hao ndio wana wa Lea, aliomzalia Yakobo katika Padan-aramu, na Dina, binti yake. Wanawe wote wa kiume na kike walikuwa watu thelathini na watatu.