Mwanzo 46:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Zabuloni; Seredi, na Eloni, na Yaleeli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zebuluni na wanawe: Seredi, Eloni na Yaleeli. Biblia Habari Njema - BHND Zebuluni na wanawe: Seredi, Eloni na Yaleeli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zebuluni na wanawe: Seredi, Eloni na Yaleeli. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Zabuloni ni: Seredi, Eloni, na Yaleeli. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Zabuloni ni: Seredi, Eloni na Yaleeli. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Zabuloni; Seredi, na Eloni, na Yaleeli. |
Hao ndio wana wa Lea, aliomzalia Yakobo katika Padan-aramu, na Dina, binti yake. Wanawe wote wa kiume na kike walikuwa watu thelathini na watatu.
Zabuloni atakaa pwani ya bahari, Naye atakuwa kama pwani za kuegesha merikebu, Na mpaka wake utakuwa kando ya Sidoni.
Hawa ndio wana wa Israeli; Reubeni, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni;