Wana wa Lea ni Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni.
Mwanzo 46:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Isakari; Tola, na Puva, na Yashubu, na Shimroni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Isakari na wanawe: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni. Biblia Habari Njema - BHND Isakari na wanawe: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Isakari na wanawe: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Isakari ni: Tola, Puva, Yashubu, na Shimroni. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Isakari ni: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Isakari; Tola, na Puva, na Yashubu, na Shimroni. |
Wana wa Lea ni Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni.
Na wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela, na Peresi, na Zera; lakini Eri na Onani walikufa katika nchi ya Kanaani. Na wana wa Peresi, ni Hesroni, na Hamuli.
Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.
Hawa ndio wana wa Israeli; Reubeni, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni;
Na Zabuloni akamnena, Furahi Zabuloni, katika kutoka kwako; Na Isakari, katika hema zako.