Wakaja kwa Yakobo, baba yao, katika nchi ya Kanaani, wakampasha habari za yote yaliyowapata, wakisema,
Mwanzo 45:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakatoka Misri, wakafika nchi ya Kanaani kwa Yakobo, baba yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakatoka Misri na kurudi nyumbani kwa baba yao Yakobo, nchini Kanaani. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakatoka Misri na kurudi nyumbani kwa baba yao Yakobo, nchini Kanaani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakatoka Misri na kurudi nyumbani kwa baba yao Yakobo, nchini Kanaani. Neno: Bibilia Takatifu Basi wakatoka Misri na kufika kwa baba yao Yakobo katika nchi ya Kanaani. Neno: Maandiko Matakatifu Basi wakatoka Misri na kufika kwa baba yao Yakobo katika nchi ya Kanaani. BIBLIA KISWAHILI Wakatoka Misri, wakafika nchi ya Kanaani kwa Yakobo, baba yao. |
Wakaja kwa Yakobo, baba yao, katika nchi ya Kanaani, wakampasha habari za yote yaliyowapata, wakisema,
Wakampasha habari, wakisema, Yusufu angali hai; naye ndiye mtawala katika nchi yote ya Misri. Moyo wake ukazimia, kwa sababu hakuwasadiki.