Reubeni akawaambia, Msimwage damu; mtupeni katika shimo hili lililopo nyikani, wala msimguse; ili apate kumwokoa katika mikono yao, akamrudishe kwa baba yake.
Mwanzo 45:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akaagana na ndugu zake, wakaenda zao; naye akawaambia, Msigombane njiani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yosefu akaagana na ndugu zake. Walipokuwa wanaondoka aliwaonya akisema, “Msigombane njiani!” Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yosefu akaagana na ndugu zake. Walipokuwa wanaondoka aliwaonya akisema, “Msigombane njiani!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yosefu akaagana na ndugu zake. Walipokuwa wanaondoka aliwaonya akisema, “Msigombane njiani!” Neno: Bibilia Takatifu Akaagana na ndugu zake walipokuwa wakiondoka, akawaambia, “Msigombane njiani!” Neno: Maandiko Matakatifu Akaagana na ndugu zake walipokuwa wakiondoka, akawaambia, “Msigombane njiani!” BIBLIA KISWAHILI Akaagana na ndugu zake, wakaenda zao; naye akawaambia, Msigombane njiani. |
Reubeni akawaambia, Msimwage damu; mtupeni katika shimo hili lililopo nyikani, wala msimguse; ili apate kumwokoa katika mikono yao, akamrudishe kwa baba yake.
Na baba yake akampelekea vifuatavyo: punda kumi waliochukua mema ya Misri, na punda majike kumi waliochukua nafaka, na mikate, na chakula cha njiani kwa babaye.