Hivi ndivyo vizazi vya Yakobo. Yusufu, aliyekuwa mwenye miaka kumi na saba, alikuwa akichunga kondoo pamoja na ndugu zake; naye alikuwa kijana pamoja na wana wa Bilha, na wana wa Zilpa, wake wa baba yake. Yusufu akamletea baba yao habari zao mbaya.
Mwanzo 42:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yusufu akawatambua nduguze, bali wao hawakumtambua yeye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ingawa Yosefu aliwatambua kaka zake, wao hawakumtambua. Biblia Habari Njema - BHND Ingawa Yosefu aliwatambua kaka zake, wao hawakumtambua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ingawa Yosefu aliwatambua kaka zake, wao hawakumtambua. Neno: Bibilia Takatifu Ingawa Yusufu aliwatambua ndugu zake, wao hawakumtambua. Neno: Maandiko Matakatifu Ingawa Yusufu aliwatambua ndugu zake, wao hawakumtambua. BIBLIA KISWAHILI Yusufu akawatambua nduguze, bali wao hawakumtambua yeye. |
Hivi ndivyo vizazi vya Yakobo. Yusufu, aliyekuwa mwenye miaka kumi na saba, alikuwa akichunga kondoo pamoja na ndugu zake; naye alikuwa kijana pamoja na wana wa Bilha, na wana wa Zilpa, wake wa baba yake. Yusufu akamletea baba yao habari zao mbaya.
Naye Yusufu alikuwa mwenye miaka thelathini, aliposimama mbele ya Farao, mfalme wa Misri. Yusufu akatoka mbele ya uso wa Farao, akasafiri katika nchi yote ya Misri.
Naye akiisha kusema hayo, akageuka nyuma, akamwona Yesu amesimama, asijue ya kuwa ni Yesu.