Mkuu wa askari akamwekea Yusufu watu hao, naye akawahudumia, nao wakakaa siku kadhaa katika kifungo.
Mwanzo 42:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akawatia wote gerezani siku tatu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akawatia wote gerezani kwa muda wa siku tatu. Biblia Habari Njema - BHND Kisha akawatia wote gerezani kwa muda wa siku tatu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akawatia wote gerezani kwa muda wa siku tatu. Neno: Bibilia Takatifu Akawaweka wote chini ya ulinzi kwa siku tatu. Neno: Maandiko Matakatifu Akawaweka wote chini ya ulinzi kwa siku tatu. BIBLIA KISWAHILI Akawatia wote gerezani siku tatu. |
Mkuu wa askari akamwekea Yusufu watu hao, naye akawahudumia, nao wakakaa siku kadhaa katika kifungo.
Akawauliza hao maofisa wa Farao, waliokuwa pamoja naye katika kifungo, nyumbani mwa bwana wake, akisema, Mbona nyuso zenu zimekunjamana leo?
Farao aliwakasirikia watumishi wake, akanitia nifungwe nyumbani mwa mkuu wa askari walinzi, mimi na mkuu wa waokaji.
nao watakusanywa pamoja kama vile wakusanywavyo wafungwa katika shimo nao watafungwa katika gereza; na baada ya muda wa siku nyingi wataadhibiwa.
Maana ni hakika, hao kwa siku chache waliturudi kama walivyoona vema wenyewe; bali yeye kwa faida yetu, ili tuushiriki utakatifu wake.