Wakamwambia, Sisi watumwa wako tu ndugu kumi na wawili, wana wa mtu mmoja katika nchi ya Kanaani; na mdogo wetu yuko pamoja na baba yetu leo, na mmoja hayuko.
Mwanzo 42:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yusufu akawaambia, Ndivyo nilivyowaambia, nikisema, Wapelelezi ninyi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Yosefu akawaambia, “Ni kama nilivyosema: Nyinyi ni wapelelezi tu. Biblia Habari Njema - BHND Lakini Yosefu akawaambia, “Ni kama nilivyosema: Nyinyi ni wapelelezi tu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Yosefu akawaambia, “Ni kama nilivyosema: nyinyi ni wapelelezi tu. Neno: Bibilia Takatifu Yusufu akawaambia, “Kama nilivyowaambia: Ninyi ni wapelelezi! Neno: Maandiko Matakatifu Yusufu akawaambia, “Ni sawa kabisa kama nilivyowaambia: Ninyi ni wapelelezi! BIBLIA KISWAHILI Yusufu akawaambia, Ndivyo nilivyowaambia, nikisema, Wapelelezi ninyi. |
Wakamwambia, Sisi watumwa wako tu ndugu kumi na wawili, wana wa mtu mmoja katika nchi ya Kanaani; na mdogo wetu yuko pamoja na baba yetu leo, na mmoja hayuko.
Mtabainika kwa njia hii; aishivyo Farao, hamtoki hapa, asipokuja huku huyo ndugu yenu mdogo.