Na wa pili akamwita jina lake Efraimu, maana alisema, Mungu amenipa uzazi katika nchi ya mateso yangu.
Mwanzo 41:53 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Miaka ile saba ya shibe ikaisha katika nchi ya Misri, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Miaka ile saba ya shibe nchini Misri ikapita. Biblia Habari Njema - BHND Miaka ile saba ya shibe nchini Misri ikapita. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Miaka ile saba ya shibe nchini Misri ikapita. Neno: Bibilia Takatifu Ile miaka saba ya shibe huko Misri ikaisha, Neno: Maandiko Matakatifu Ile miaka saba ya neema huko Misri ikaisha, BIBLIA KISWAHILI Miaka ile saba ya shibe ikaisha katika nchi ya Misri, |
Na wa pili akamwita jina lake Efraimu, maana alisema, Mungu amenipa uzazi katika nchi ya mateso yangu.
ikaanza kuja miaka ile saba ya njaa, kama vile Yusufu alivyosema. Kukawa na njaa katika nchi zote, bali katika nchi yote ya Misri palikuwa na chakula.
Maana miaka hii miwili njaa imekuwa katika nchi, na iko tena miaka mitano isiyo ya kulima wala kuvuna.
Abrahamu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo yako mema katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unateseka.