Kisha kutakuja miaka saba ya njaa baada yake; na shibe ile yote itasahauliwa katika nchi ya Misri, na njaa itaiharibu nchi.
Mwanzo 41:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wala shibe ile haitajulikana katika nchi kwa sababu ya njaa inayokuja baadaye, maana itakuwa kali sana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shibe hiyo itasahaulika kabisa kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno. Biblia Habari Njema - BHND Shibe hiyo itasahaulika kabisa kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shibe hiyo itasahaulika kabisa kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno. Neno: Bibilia Takatifu “Shibe iliyokuwa katika nchi haitakumbukwa, kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno. Neno: Maandiko Matakatifu “Neema iliyokuwa katika nchi haitakumbukwa, kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno. BIBLIA KISWAHILI Wala shibe ile haitajulikana katika nchi kwa sababu ya njaa inayokuja baadaye, maana itakuwa kali sana. |
Kisha kutakuja miaka saba ya njaa baada yake; na shibe ile yote itasahauliwa katika nchi ya Misri, na njaa itaiharibu nchi.
Na ndoto ya Farao kwa vile ilivyokuja mara mbili, ni kwa sababu neno hilo Mungu amelithibitisha, na Mungu atalitimiza upesi.
Dunia inalewalewa kama mlevi, nayo inawayawaya kama machela; na mzigo wa dhambi zake utailemea; nayo itaanguka, wala haitainuka tena.
Lakini mkono wa BWANA ulikuwa mzito juu ya watu wa Ashdodi, akawaangamiza, akawapiga kwa majipu, huko Ashdodi na mipakani mwake.