Mwanzo 41:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Farao akamwambia Yusufu, Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa mto; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili, Biblia Habari Njema - BHND Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili, Neno: Bibilia Takatifu Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa Mto Naili. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa Mto Naili, BIBLIA KISWAHILI Farao akamwambia Yusufu, Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa mto; |