Ikawa, baada ya miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto.
Mwanzo 40:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini huyo mkuu wa wanyweshaji hakumkumbuka Yusufu, alimsahau. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka. Biblia Habari Njema - BHND Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka. Neno: Bibilia Takatifu Lakini mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yusufu, bali alimsahau. Neno: Maandiko Matakatifu Pamoja na hayo, mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yusufu, bali alimsahau. BIBLIA KISWAHILI Lakini huyo mkuu wa wanyweshaji hakumkumbuka Yusufu, alimsahau. |
Ikawa, baada ya miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto.
Mfalme akasema, Je! Ni heshima gani au hadhi gani Mordekai aliyofanyiwa kwa ajili ya hayo? Watumishi wa mfalme waliomhudumia wakamwambia, Hakuna alilofanyiwa.
Maana nimesikia wengi wakinong'onezana; Hofu katika pande zote. Waliposhauriana juu yangu, Walipanga kunitoa uhai wangu.
ninyi mnaokunywa divai katika mabakuli, na kujipaka marhamu iliyo nzuri; lakini hawahuzuniki kwa sababu ya mateso ya Yusufu.