BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Mwanzo 4:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lameki akajitwalia wake wawili, jina la wa kwanza ni Ada, na jina la wa pili ni Sila. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada na mwingine Sila. Biblia Habari Njema - BHND Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada na mwingine Sila. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada na mwingine Sila. Neno: Bibilia Takatifu Lameki alioa wanawake wawili: mmoja aliitwa Ada, na mwingine Sila. Neno: Maandiko Matakatifu Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada, na mwingine Sila. BIBLIA KISWAHILI Lameki akajitwalia wake wawili, jina la wa kwanza ni Ada, na jina la wa pili ni Sila. |
BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Henoko akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli; Methushaeli akamzaa Lameki.
Lameki akawaambia wake zake, Sikieni sauti yangu, Ada na Sila; Enyi wake za Lameki, sikilizeni ninachosema; Maana nimemwua mtu kwa kunitia jeraha; Kijana kwa kunichubua;
Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.