akawaita watu wa nyumbani mwake, akasema nao, akinena, Angalieni, ametuletea mtu Mwebrania atufanyie dhihaka. Ameingia kwangu ili alale nami, nikalia kwa sauti kuu.
Mwanzo 39:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ikawa, aliposikia ya kuwa nimepaza sauti yangu na kulia, aliiacha nguo yake kwangu, akakimbia, akatoka nje. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliposikia napiga kelele, aliliacha vazi lake, akakimbilia nje!” Biblia Habari Njema - BHND Aliposikia napiga kelele, aliliacha vazi lake, akakimbilia nje!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliposikia napiga kelele, aliliacha vazi lake, akakimbilia nje!” Neno: Bibilia Takatifu Aliposikia nikipiga yowe, akaacha vazi lake kando yangu, akakimbilia nje.” Neno: Maandiko Matakatifu Aliposikia kelele za kuomba msaada, akaacha vazi lake kando yangu akakimbilia nje.” BIBLIA KISWAHILI Ikawa, aliposikia ya kuwa nimepaza sauti yangu na kulia, aliiacha nguo yake kwangu, akakimbia, akatoka nje. |
akawaita watu wa nyumbani mwake, akasema nao, akinena, Angalieni, ametuletea mtu Mwebrania atufanyie dhihaka. Ameingia kwangu ili alale nami, nikalia kwa sauti kuu.
Ni nani atambuaye maovu yetu? Tumepanga njama kwa werevu mwingi, Maana katika moyo wa mtu na fikira mengi yamefichika.