Mwanzo 37:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC akawaambia, Tafadhalini, sikieni ndoto hii niliyoiota. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliwaambia, “Sikilizeni ndoto niliyoota: Biblia Habari Njema - BHND Aliwaambia, “Sikilizeni ndoto niliyoota: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliwaambia, “Sikilizeni ndoto niliyoota: Neno: Bibilia Takatifu Akawaambia, “Sikilizeni ndoto niliyoota: Neno: Maandiko Matakatifu Akawaambia, “Sikilizeni ndoto niliyoota: BIBLIA KISWAHILI akawaambia, Tafadhalini, sikieni ndoto hii niliyoiota. |
Tazama, sisi tulikuwa tukifunga miganda shambani, kumbe! Mganda wangu ukaondoka ukasimama, na tazama, miganda yenu ikazunguka ikainama mbele ya mganda wangu.
Yusufu akazikumbuka zile ndoto alizowaotea. Akawaambia, Wapelelezi ninyi, mmekuja ili mwuone utupu wa nchi.
Ndipo Yuda akamkaribia, akasema, Tafadhali, bwana wangu, mtumwa wako na aseme neno moja masikioni mwa bwana wangu, wala hasira yako isimwakie mtumwa wako, maana wewe u kama Farao.
Kisha walipomwambia huyo Yothamu, yeye akaenda, akasimama juu ya kilele cha kilima cha Gerizimu, akapaza sauti yake, akapiga kelele, na kuwaambia, Nisikieni mimi, enyi watu wa Shekemu, ili Mungu naye apate kuwasikia ninyi.