Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.
Mwanzo 36:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hivi ni vizazi vya Esau, baba ya Edomu katika mlima Seiri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wafuatao ni wazawa wa Esau, baba ya Waedomu katika nchi ya milima ya Seiri. Biblia Habari Njema - BHND Wafuatao ni wazawa wa Esau, baba ya Waedomu katika nchi ya milima ya Seiri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wafuatao ni wazawa wa Esau, baba ya Waedomu katika nchi ya milima ya Seiri. Neno: Bibilia Takatifu Hivi ndivyo vizazi vya Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya vilima ya Seiri. Neno: Maandiko Matakatifu Hawa ndio wazao wa Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya kilima cha Seiri. BIBLIA KISWAHILI Hivi ni vizazi vya Esau, baba ya Edomu katika mlima Seiri. |
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.
Basi, Yakobo akapeleka wajumbe mbele yake kwenda kwa Esau nduguye mpaka nchi ya Seiri katika nyika ya Edomu.
Akawaagiza akisema, Mwambieni hivi bwana wangu, Esau, Hivi ndivyo asemavyo mtumwa wako, Yakobo; Nimekaa ugenini kwa Labani, na kukawia huko hata sasa,
Haya ndiyo majina ya wana wa Esau; Elifazi, mwana wa Ada mkewe Esau. Reueli, mwana wa Basemathi, mkewe Esau.
jumbe Magdieli, jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu, kulingana na makao yao, katika nchi ya mamlaka yao. Naye huyo ndiye Esau, baba ya Edomu.
Na baadhi yao, wana wa Simeoni wapatao watu mia tano, wakaenda mpaka mlima Seiri, na majemadari wao walikuwa Pelatia, na Nearia, na Refaya, na Uzieli, wana wa Ishi.
Maono yake Obadia. Ndivyo asemavyo Bwana MUNGU juu ya Edomu; Tumepata habari kwa BWANA, Na mjumbe ametumwa kati ya mataifa, Akisema, Haya, inukeni ninyi; Na tuinuke tupigane naye.
msipigane nao; kwa kuwa sitawapa sehemu ya nchi yao kamwe, hata kiasi cha kukanyaga wayo wa mguu; kwa kuwa nimempa Esau milima ya Seiri kuwa milki yake.
Kisha nikampa huyo Isaka, Yakobo na Esau; nami nikampa Esau mlima Seiri aumiliki; Yakobo na watoto wake wakashuka Misri.