Esau alipokuwa mwenye miaka arubaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.
Mwanzo 36:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ada akamzalia Esau Elifazi; na Basemathi alizaa Reueli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ada alimzalia Esau Elifazi, naye Basemathi akamzalia Reueli. Biblia Habari Njema - BHND Ada alimzalia Esau Elifazi, naye Basemathi akamzalia Reueli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ada alimzalia Esau Elifazi, naye Basemathi akamzalia Reueli. Neno: Bibilia Takatifu Ada akamzalia Esau Elifazi; Basemathi akamzaa Reueli; Neno: Maandiko Matakatifu Ada akamzalia Esau Elifazi, Basemathi akamzaa Reueli, BIBLIA KISWAHILI Ada akamzalia Esau Elifazi; na Basemathi alizaa Reueli. |
Esau alipokuwa mwenye miaka arubaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.
Oholibama alizaa Yeushi, na Yalamu, na Kora. Hao ndio wana wa Esau aliozaliwa katika nchi ya Kanaani.
Basi ikawa hao marafiki watatu wa Ayubu walipopata habari ya mabaya hayo yote yaliyomfikia, wakaja kila mtu kutoka mahali pake; nao ni Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi; wakapatana pamoja ili waende kumfariji Ayubu na kumtuliza moyo.
Kisha Musa akamwambia Hobabu, mwana wa Reueli Mmidiani, mkwewe Musa, Sisi twasafiri kwenenda mahali ambapo BWANA amenena habari zake hivi, Nitawapa ninyi mahali hapo; uje pamoja nasi, nasi tutakufanyia mema; kwa kuwa BWANA ametamka mema juu ya Israeli.