Mwanzo 36:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akafa Shauli, akamiliki Baal-hanani, mwana wa Akbori, badala yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shauli alipofariki, Baal-hanani, mwana wa Akbori, alitawala badala yake. Biblia Habari Njema - BHND Shauli alipofariki, Baal-hanani, mwana wa Akbori, alitawala badala yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shauli alipofariki, Baal-hanani, mwana wa Akbori, alitawala badala yake. Neno: Bibilia Takatifu Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. Neno: Maandiko Matakatifu Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. BIBLIA KISWAHILI Akafa Shauli, akamiliki Baal-hanani, mwana wa Akbori, badala yake. |
Akafa Baal-hanani, mwana wa Akbori, akamiliki Hadadi badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
Baal-Hanani akafa, naye Hadadi akatawala badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
na juu ya mizeituni na mikuyu iliyokuwamo katika Shefela alikuwa Baal-hanani, Mgederi; na juu ya ghala za mafuta alikuwa Yoashi;