Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
Mwanzo 36:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akafa Samla, na Shauli wa Rehobothi, ulio karibu na mto, akamiliki badala yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi, ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake. Biblia Habari Njema - BHND Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi, ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi, ulio karibu na mto Eufrate, alitawala badala yake. Neno: Bibilia Takatifu Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ng’ambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake. Neno: Maandiko Matakatifu Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ng’ambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake. BIBLIA KISWAHILI Akafa Samla, na Shauli wa Rehobothi, ulio karibu na mto, akamiliki badala yake. |
Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;