Mwanzo 36:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akafa Yobabu, akamiliki Hushamu, wa nchi ya Watemani, badala yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yobabu alipofariki, Hushamu wa nchi ya Watemani, alitawala badala yake. Biblia Habari Njema - BHND Yobabu alipofariki, Hushamu wa nchi ya Watemani, alitawala badala yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yobabu alipofariki, Hushamu wa nchi ya Watemani, alitawala badala yake. Neno: Bibilia Takatifu Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. Neno: Maandiko Matakatifu Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. BIBLIA KISWAHILI Akafa Yobabu, akamiliki Hushamu, wa nchi ya Watemani, badala yake. |
Hawa ndio majumbe wao wana wa Esau; wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau; jumbe Temani, jumbe Omari, jumbe Sefo, jumbe Kenazi,
Akafa Hushamu, akamiliki Hadadi wa Bedadi badala yake, naye ndiye aliyepiga Midiani katika nyika ya Moabu, na jina la mji wake ni Avithi.
Basi ikawa hao marafiki watatu wa Ayubu walipopata habari ya mabaya hayo yote yaliyomfikia, wakaja kila mtu kutoka mahali pake; nao ni Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi; wakapatana pamoja ili waende kumfariji Ayubu na kumtuliza moyo.
Kuhusu Edomu. BWANA wa majeshi asema hivi, Je! Hakuna tena hekima katika Temani? Mashauri yamewapotea wenye busara? Je! Imetoweka hekima yao?
kwa sababu hiyo, Bwana MUNGU asema hivi; Nitanyosha mkono wangu juu ya Edomu, nitakatilia mbali nayo wanadamu na wanyama; nami nitaifanya kuwa ukiwa toka Temani; na mpaka Dedani wataanguka kwa upanga.