Mwanzo 36:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na hawa ni wana wa Dishani, Usi, na Arani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watoto wa kiume wa Dishani walikuwa Usi na Arani. Biblia Habari Njema - BHND Watoto wa kiume wa Dishani walikuwa Usi na Arani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watoto wa kiume wa Dishani walikuwa Usi na Arani. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani. BIBLIA KISWAHILI Na hawa ni wana wa Dishani, Usi, na Arani. |
Hawa ndio majumbe waliotoka katika Wahori; jumbe Lotani, jumbe Shobali, jumbe Sibeoni, jumbe Ana,
Palikuwa na mtu katika nchi ya Usi, jina lake alikuwa akiitwa Ayubu; mtu huyo alikuwa mkamilifu na mwelekevu, ni mmoja aliyemcha Mungu, na kuepukana na uovu.
na watu wote waliochanganyika pamoja, na wafalme wote wa nchi ya Uzi, na wafalme wote wa nchi ya Wafilisti, na Ashkeloni, na Gaza, na Ekroni, na mabaki ya Ashdodi;
Furahi, ushangilie, Ee binti Edomu, Ukaaye katika nchi ya Usi; Hata kwako kikombe kitapita, Utalewa, na kujifanya uchi.