Haya ndiyo majina ya wana wa Esau; Elifazi, mwana wa Ada mkewe Esau. Reueli, mwana wa Basemathi, mkewe Esau.
Mwanzo 36:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Elifazi, ni Temani na Omari, na Sefo, na Gatamu, na Kenazi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watoto wa kiume wa Elifazi walikuwa Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi. Biblia Habari Njema - BHND Watoto wa kiume wa Elifazi walikuwa Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watoto wa kiume wa Elifazi walikuwa Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Elifazi ni: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Elifazi ni: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Elifazi, ni Temani na Omari, na Sefo, na Gatamu, na Kenazi. |
Haya ndiyo majina ya wana wa Esau; Elifazi, mwana wa Ada mkewe Esau. Reueli, mwana wa Basemathi, mkewe Esau.
Na Timna alikuwa suria wa Elifazi, mwana wa Esau; naye akamzalia Elifazi Amaleki. Hao ndio wana wa Ada, mkewe Esau.
Basi ikawa hao marafiki watatu wa Ayubu walipopata habari ya mabaya hayo yote yaliyomfikia, wakaja kila mtu kutoka mahali pake; nao ni Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi; wakapatana pamoja ili waende kumfariji Ayubu na kumtuliza moyo.
Kuhusu Edomu. BWANA wa majeshi asema hivi, Je! Hakuna tena hekima katika Temani? Mashauri yamewapotea wenye busara? Je! Imetoweka hekima yao?
Na mashujaa wako, Ee Temani, watafadhaika, hata iwe kila mtu akatiliwe mbali kwa kuuawa katika kilima cha Esau.