Baadaye ndugu yake akatoka, na mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino. Akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa mwenye miaka sitini mkewe alipowazaa.
Mwanzo 35:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Siku za Isaka zilikuwa miaka mia moja na themanini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Isaka alikuwa na miaka 180 Biblia Habari Njema - BHND Isaka alikuwa na miaka 180 Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Isaka alikuwa na miaka 180 Neno: Bibilia Takatifu Isaka aliishi miaka mia moja na themanini. Neno: Maandiko Matakatifu Isaka aliishi miaka 180. BIBLIA KISWAHILI Siku za Isaka zilikuwa miaka mia moja na themanini. |
Baadaye ndugu yake akatoka, na mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino. Akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa mwenye miaka sitini mkewe alipowazaa.
Yakobo akaishi katika nchi ya Misri miaka kumi na saba, basi umri wake Yakobo ulikuwa miaka mia moja na arubaini na saba.
Yakobo akamjibu Farao, Siku za kuishi kwangu ni miaka mia moja na thelathini; siku za maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikia siku za maisha ya baba zangu katika siku za kuishi kwao.
Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia moja na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.