Tafadhali pokea zawadi yangu iliyoletwa kwako, kwa sababu Mungu amenineemesha, na kwa sababu ninavyo hivi vyote. Akamsihi sana, naye akapokea.
Mwanzo 33:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha Esau akamwambia, Twende zetu, tusafiri, nami nitakutangulia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Esau akasema, “Haya! Tuendelee na safari yetu; mimi nitakutangulia.” Biblia Habari Njema - BHND Esau akasema, “Haya! Tuendelee na safari yetu; mimi nitakutangulia.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Esau akasema, “Haya! Tuendelee na safari yetu; mimi nitakutangulia.” Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Esau akasema, “Tuendelee na safari; nitakusindikiza.” Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Esau akasema, “Na tuendelee na safari, nitakuwa pamoja nawe.” BIBLIA KISWAHILI Kisha Esau akamwambia, Twende zetu, tusafiri, nami nitakutangulia. |
Tafadhali pokea zawadi yangu iliyoletwa kwako, kwa sababu Mungu amenineemesha, na kwa sababu ninavyo hivi vyote. Akamsihi sana, naye akapokea.
Akamjibu, Bwana wangu anajua ya kuwa watoto ni wachanga, tena kondoo na ng'ombe nilio nao wanyonyesha. Hao wanyama wakiharakishwa siku moja, watakufa wote.